Simba yashusha kifaa kingine kutoka Sudan
Simba SC imemsajili kiungo wa timu ya Taifa ya Sudan ,Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman kutoka klabu ya Al Hilal ya Sudan kwa mkataba wa mwaka mmoja. Sharaf amewahi kushinda tuzo ya kiungo bora wa ligi kuu ya Sudan mara mbili mfululizo.
Read more