Samatta asema Tanzania bado ina safari ndefu
Baada ya Tanzania kumalizia mchezo wake wa mwisho hapo jana kwenye michuano ya AFCON dhidi ya Algeria ambapo Tanzania ilifungwa goli 3-0,Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta amesema kuwa kama timu bado wanasafari ndefu ya kuhakikisha wanafanya vizuri katika michuano mbalimbali. . “Bado tunahitaji kujiandaa vizuri sana,maana mapambano bado ni makali,tunatakiwa kujiandaa sana hasa …
Read more