POGBA KAWAAMBIA UKWELI MAN UNITED BAADA YA JAMBO LAKE KUSHINDWA KUTIMIA
[14:41, 8/11/2019] Traveller 1: Imeripotiwa kuwa nyota wa Manchester United n Paul Pogba amewatoa hofu viongozi wa timu hiyo kutokana na baadhi yao kuamini kuwa anaweza asiwe na mchango chanya msimu 2019/20 kwa kudhani akili yake imehama. Pogba alikuwa anahusishwa kwa karibu kuwa katika mipango ya kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane na mwenyewe alishawahi …
Read more