REDBULL WAMTEMA PIERRE
Siku chache baada ya boss wa Red Bull kudai bado timu hiyo inamuhitaji dereva Piere Gasly, timu hiyo sasa imetangaza kubadilishana dereva huyo na Alex Albon wa Toro Rosso. Sasa Pierre Gasly atajiunga na Toro Rosso kuendesha pamoja na Daniil Kvyat huku Alex Albon akiingia RedBull kuendesha pamoja na Max Vertapen. Hatua hii imekuja baada …
Read more