FORLAN AELEZA KIUNDANI KUHUSU UGOMVI WA FERGUSON NA BECKHAM 2003
Moja ya tukio maarufu katika soka mwaka 2003 lilikuwa ni ugomvi uliotokea kwenye vyumba vya kubadilishia vya Old Trafford. Ugomvi huu ulikuwa ni kati ya kocha wa Man United wakati huo, Sir Alex Ferguson na mchezaji wake David Beckham ambao ulitokea baada ya Man United kupoteza mechi ya raundi ya 5 FA Cup kwa bao …
Read more