KMC WAMEANGUSHWA NA UGENI, AS KIGALI WAKAWAMALIZA TAIFA
Kwa mara ya kwanza Tanzania imepata ushiriki wa vilabu vinne katika michuano ya kimataifa kwa msimu mmoja (2019/20) kwa mashindano yanayoandaliwa na shirikisho la soka Afrika (CAF). KMC inayomilikiwa na Manispaa ya Kinondoni ilikuwa ni miongoni mwa timu hizo nne yenyewe ikishiriki michuano ya Kombe la shirikisho Afrika na kutolewa na AS Kigali ya Rwanda …
Read more