KEVIN DE BRUYNE KAMKINGIA KIFUA KOMPANY KWA KUVURUNDA
Kiungo wa Manchester City Kevin De Bruyne akifanya mahojiano na Sky Sports ameonekana kumkingia kifua mchezaji mwenzake wa zamani Vincent Kompany ambaye kwa sasa ni kocha mchezaji wa klabu ya Anderlecht kutokana na kutofanya vizuri na timu hiyo. “(Kompany) amekuwa kocha kwa takribani miezi miwili hivyo unatarajia nini? kwenda pale kushinda kila mechi? hakuna kitu …
Read more