LECLERC ATWAA USHINDI WAKE WA KWANZA F1 NA KUUTOA KWA HESHIMA YA ANTHONIE
Baada ya kukaribia kushinda mbio za Bahrain na Austria na kupoteza katika mizunguko ya mwisho, wikiendi hii katika Belgium Grand Prix ilikuwa ni tofauti kwa Charles Leclerc, 21, aliyefanikiwa kuibuka na ushindi wake wa kwanza wa F1 mbele ya bingwa wa dunia mara 5 Lewis Hamilton. Nafasi ya tatu imeenda kwa Valtteri Bottas, Sebastian Vettel …
Read more