KOCHA WA WALES KAONDOLEWA KAMBINI KWA ISHU ZA KUBET
Kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Rugby ya Wales Rob Howley amerudishwa nyumbani kutoka kambi ya Kombe la Dunia ya timu yake iliyokuwa inajiandaa michuano ya Kombe la Dunia Rugby kwa tuhuma za kujihusisha na ubashiri (bettting). . Inafahamika kuwa Rob Howley alibashiri (betting) mechi za Rugby (Rugby Union Matches) amesimamishwa kujihusisha na masuala …
Read more