CARDIFF KWENDA MAHAKAMANI KUPINGA MAAMUZI YA FIFA
Klabu ya Cardiff City imetoa taarifa ya kuwa watakata rufaa juu maamuzi waliyotoa FIFA kuwa walipe Pauni Milioni 5.3 kwa klabu ya Nantes ambayo ni malipo ya awali ya usajili wa mchezaji Emiliano Sala. Nantes walimuuza Sala kwa ada ya Pauni milioni 15 kwenda Cardiff, na timu hizo zilikubaliana malipo yafanyike katika awamu tatu. Cardiff …
Read more