MCHEZAJI ATIMULIWA NICE BAADA YA KUIBA SAA
Klabu ya Nice ya nchini Ufaransa imemfukuza mshambuliaji wake Lamine Diaby-Fadiga,18, baada ya kukiri kuiba saa ya mchezaji mwenzake Kasper Dolberg yenye thamani ya Dola 76,000 (Tsh Milioni 174). Lamine amethibitisha aliiba saa hiyo aina ya Rolex katika vyumba vya kubadilishia nguo Septemba 16, na akisema kitendo hicho alikifanya kutokana na wivu. Baada ya Mfaransa …
Read more