GSW WASHINDA MECHI YA KWANZA KWENYE UWANJA WAO MPYA
Baada ya misimu 48, Golden State Warriors wamehama uwanja wa Oracle Arena uliopo Oakland, California na sasa wanatumia uwanja mpya Chase Center uliopo San Fransisco, California. Tangu wahamie katika uwanja wao mpya, ambao wameanza kuutumia rasmi katika msimu huu wa NBA, walikuwa hawajawahi kushinda mechi hata moja kati ya nne walizokuwa wamecheza nyumbani. Si Steph …
Read more