MENEJA WA UFC DANE WHITE AMUONEA HURUMA TYSON FURY ANAYETAKA KUPIGANA MMA
Baada ya Tyson Fury kushinda mechi yake ya WWE dhidi ya Braun Strowman, bondia huyo wa uzito wa juu alitamba kutaka kupigana MMA. Fury alidhibitisha kuongea na Conor McGregor juu ya yeye kujiunga na mchezo huu akidai sasa anataka kushiriki katika kila mchezo wa kupigana pamoja na kufanya mambo mengine mengi. Akiongea juu ya suala …
Read more