NGASSA NA KABWILI WAFUNGIWA, KOCHA WAO AKIPEWA ONYO KALI
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi (TPLB) Steven Mguto ametangaza kufungiwa mechi tatu na faini ya Tsh laki tatu kwa wachezaji wa Yanga, Ramadhani Kabwili, Mrisho Ngassa, Cleofas Sospeter na Mbeya City Kelvin John na Majaliwa Shaban, waliokuwa wanategeana kutoka uwanjani hadi Polisi walipolazimika kuingia uwanjani na kuwatoa. Kitendo ambacho kinatafsirika kama kugoma kuingia katika vyumba …
Read more