REAL MADRID WATOA HESIMA KIFO CHA KOBE BRYANT
Wachezaji wa Real Madrid chini ya kocha wao Zinedine Zidane leo kabla ya kuanza mazoezi ya timu hiyo walisimama kimya kwa dakika moja (moment of silence) kutoa heshima zao kwa ajili ya kifo cha mchezaji Basket Kobe Bryant. Kwenye mazoezi hayo kabla ya kuanza Sergio Ramos alionekana kuingia mazoezini akiwa na jezi ya timu ya …
Read more