ARSENAL KUMCHUKUA PABLO MARI KWA MKOPO
Klabu ya Arsenal imefikia makubaliano ya kumchukua mchezaji Pablo Mari kwa mkopo wa miezi 6 kwa makubaliano ya kumchukua moja kwa moja majira ya joto. Klabu ya Flamengo ilimtangaza beki Leo Pereira tokea Athletico Paranaense kama mridhi wa Pablo siku ya Jumanne. Mari alikwisha safari kwenda London mara ya kwanza kukamilisha usajili kabla ya Flamengo …
Read more