Thierry Henry bado hajaona raha ya ukocha
Bado bundi la vipigo mfululizo visivyoisha linazidi kuiandama klabu ya AS Monaco ya Ufaransa chini ya kocha wake mpya Thierry Henry ambaye toka amejiunga na klabu hiyo mwaka huu October 13 2018 hajapata ushindi wowote. Kwa lugha rahisi unaweza kusema kuwa kocha wa AS Monaco Thierry Henry hadi leo hii hajaona raha ya ushindi …
Read more