Antonio Conte kuwapeleka Chelsea mahakamani
Meneja aliyeipa ubingwa Chelsea wa ligi ya England mwaka 2017 ,Antonio Conte anataka kuipeleka timu hiyo mahakamani akidai pesa kutokana timu hiyo kuvunja nae mkataba. Muitalia huyo anataka kuipeleka timu hiyo mahakamani baada ya kuwakatalia kukaa nao meza moja kufanya mazungumzo. Conte anawadai Chelsea Pauni milioni 20 ( Tsh Bilioni 60) ya mkataba wake ambao …
Read more