Borussia Dortmund hatimae wamefuta uteja.
Vinara wa Ligi Kuu ya Ujerumani inayotajwa kuwa na kasi zaidi duniani Borussia Dortmund hatimae wamefanikiwa kulipa kisasi dhidi ya FC Bayern, baada ya uteja wa miezi 23 pasipo kuifunga timu hiyo katika michezo ya Ligi Kuu Ujerumani maarufu kama Bundesliga. Borussia Dortmund wamefanikiwa kufuta uteja kwa kuwafunga FC Bayern Munch kwa idadi ya …
Read more