Kamati ya uchaguzi haitambui kurudi kwa Manji Yanga, Uchaguzi kama kawaida Januari 13 2019.
Uongozi wa Klabu ya Yanga Afrika leo umetangaza kuitisha mkutano Mkuu wa dharura wa klabu hiyo tarehe 24 Novemba, ajenda bado ikiwa haijawekwa wazi ila inadaiwa kuwa ni kuweka azimio la pamoja la uchaguzi mkuu wa klabu hiyo usiguse nafasi ya mwenyekiti. Yanga kwa sasa wapo katika mvutano na kamati ya uchaguzi ya shirikisho la …
Read more