Ronaldo aacha Toyota IST 6 mgahawani
Shilingi milioni 79 za Tanzania unaweza kununua Toyota IST 6 na chenchi ikabaki. Ndani ya dakika 15 tu pesa hizo zilitumiwa na Cristiano Ronaldo katika mgahawa mmoja uliopo jijini London Jumatatu hii. Ronaldo akiwa na mpenzi wake Georgina Rodriguez na rafiki zake wengine wawili wanaume waliingia katika mgahawa huo (Scott’s restaurant) na kuagiza chupa ya …
Read more