Kutoka kwa Steph Curry mpaka kwa Eden Hazard
Mwaka 2016 katika fainali ya ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA Golden State Warriors walikuwa wanahitaji kushinda mechi 1 tu ili kuwa mabingwa wa ligi hiyo, hii ni baada ya kuwa wanaongoza kwa 3-1 katika fainali hiyo. Steph Curry na kocha wake hawakuamini kilichotokea, Cavs walifanya ‘Comeback’ ya kihistoria katika michezo, walishinda mechi …
Read more