Neymar na Mbappe hatihati kucheza Klabu Bingwa Ulaya
Washambuliaji wa klabu ya PSG Kylian Mbappe na Neymar huenda wakaikosa mechi dhidi ya Liverpool jumatano ya tarehe 28 Novemba kwenye michuano ya kutokana na majeraha walioyapata wakitumikia timu zao za taifa. Mbappe amepata majeraha akiwa na timu yake ya taifa Ufaransa katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Uruguay jana baada ya kuanguka na kuumia …
Read more