Hatimaye Thierry Henry aonja raha ya ushindi
Thierry Henry amefanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza akiwa kocha wa Monaco hapo jana timu yake ikiibuka kidedea kwa kushinda goli 1-0 dhidi ya Caen ugenini kwenye mchezo wa ligi kuu nchini Ufaransa. Ushindi huu umekuja katika mechi yake ya saba kwenye timu hiyo ambayo alijiunga nayo mwezi Oktoba mwaka huu akichukua nafasi ya Leonard …
Read more