Kocha wa Bandari aondoka na tuzo ligi ya Kenya
Kocha wa Timu ya Bandari Bernard ametuzwa kama kocha bora wa mwezi wa Agosti Katika Ligi ya Kenya. Mwalala ambaye aliwahi kuichezea Timu za Yanga na Coastal Union kabla ya kuifunza Union kama naibu msaidizi aliiongoza Bandari kushinda mechi zake zote katika mwezi wa Agosti. Bandari iliweza kuilaza timu za Posta Rangers, Gor Mahia, Tusker …
Read more