MASHABIKI WASIHOJI TENA TFF, IMEWEKA MAMBO SAWA
Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na malalamiko kuwa mchezo wa JKT Tanzania dhidi ya Yanga ambao unaripotiwa kuwa JKT Tanzania atakuwa mwenyeji utachezwa uwanja wa Taifa na sio Mkwakwani tena kama ilivyokuwa mchezo wa Simba na JKT Tanzania. Tukukumbushe tu JKT Tanzania waliomba kutumia uwanja wa Mkwakwani Tanga kama uwanja wao wa nyumbani kwa …
Read more