Jose Mourinho aifuta ahadi yake
Mipango si matumizi, huu ni moja ya msemo maarufu kwa watumiaji wa lugha ya kiswahili. Novemba 23 mwaka huu kocha wa Man United Jose Mourinho alisema kuwa anaamini timu yake itakuwa katika nne bora ya ligi kuu nchini England mwishoni mwa mwezi wa 12 mwaka huu. Sasa kocha huyo kwa kinywa chake cha Novemba 23, …
Read more