TSHABLALA AKANA WACHEZAJI WA SIMBA KUMCHOMESHA KOCHA
Mohamed Hussein Tshabalala amekanusha taarifa zinazoenezwa kuwa Simba SC kutokupata matokeo mazuri na kutocheza vizuri kunatokana na wachezaji hao kuwa katika mgomo baridi dhidi ya kocha wao Sven Vanderbroeck. Hivyo ni kama walikuwa wamegoma ili timu isifanye vizuri na kocha Sven afukuzwe, Mohamed Hussein amejibu kuwa sio kweli walitelez ndio maana katika mchezo wa leo …
Read more