Joe Gomez wa Liverpool tunasubiri ripoti ya daktari
Beki wa Liverpool Joe Gomez ameshindwa kumaliza mchezo wa Ligi Kuu Uingereza kati ya timu yake ya Liverpool dhidi ya Burnley na kujikuta akitolewa nje ya uwanja kutokana na kupata majeraha ya kifundo cha mguuu. Mchezo huo uliochezwa ugenini na Liverpool kupata ushindi wa mabao 3-1, Joe Gomez alifanikiwa kucheza kwa dakika 23 pekee …
Read more