TOURE KAVUNJA MKATABA NA OLYMPIACOS
Muaivory Coast Yaya Toure ameamua kuanza upya katika maisha yake ya soka baada ya kuripotiwa kuwa ameamua kuvunja mkataba na klabu yake ya Olympiacos kwa makubaliano ya pande zote mbili, Toure inaonekana ana mipango mingine mwezi Januari kwa ajili ya kuendeleza soka lake la ushindani likielekea ukingoni. Yaya Toure ‘35’ alijiunga na Olympiacos kama mchezaji …
Read more