MKURUGENZI WA BARCELONA WA ZAMANI ANASEMA NI UAMUZI WA HATARI KUMSAJILI DEMBELE
Hivi karibuni ilielezwa kuwa klabu ya Barcelona imemuita wakala wa mchezaji wao Ousmane Dembele na kukaa nae kujadiliana kuhusiana na tabia ya mchezaji huyo ya kuwa mchelewaji sugu wa mazoezi ya timu licha ya kupigwa faini, Dembele Jumapili iliyopita alichelewa kwa saa 2 katika mazoezi ya Barcelona ya kujiandaa dhidi ya Espanyol. Dembele amepigwa faini …
Read more