Jose Mourinho atimuliwa Man United
Klabu ya Man United imetangaza kumtimua kocha Jose Mourinho ambaye ameitumikia timu hiyo kwa muda wa miaka miwili na nusu. Mreno huyo,55, akiwa Old Trafford amechukua ubingwa wa Europa ligi, kombe la ligi na ngao ya jamii. United ambao wapo nafasi ya 6 katika ligi, pointi 19 nyuma ya vinara Liverpool, watakuwa chini ya Michael …
Read more