Leopards wamnyaka Kaheza
Mshambuliaji wa timu ya Simba SC amejiunga na miamba wa Kenya, AFC Leopards kwenye mkopo hadi mwisho wa msimu. Kaheza ambaye aliingia Simba mwezi Juni hajakuwa akitumika na Mwabingwa hao wa Tanzania na Wameamua kumtuma Kenya kwa mkopo. Wachezaji wengine wanne pia wameelekea nje kwa MKOPO. Mohamed Rashid ameelekea KMC, Said Nduda amekwenda Ndanda FC …
Read more