LIVERPOOL WASHINDWE WENYEWE, ROY HUGSON KAMPA ZAWADI YA CHRISTMAS JURGEN KLOPP
Timu ya Crystal Palace leo imefanikiwa kuzima jiji la Manchester baada ya kufanikiwa kuwafunga Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya nchini Uingereza Manchester City, Crystal Palace wanakuwa gumzo kufuatia kuonekana kufanikiwa kupata matokeo chanya dhidi ya Manchester City ambao wanaonekana ni wagumu kufungwa hususani katika uwanja wao wa Etihad. Crystal Palace licha ya ugeni na …
Read more