Mbwana Samatta atengewa dau nono
Nyota wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji Mbwana Samatta ameripotiwa kuhitajika na klabu ya Ligi daraja la kwanza nchini England ya Middlesbrough, klabu hiyo imejipanga kutuma ofa nono kwa Genk mwezi Januari. Middlesbrough ambayo kwa sasa ipo nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Daraja la kwanza maarufu kama Championship, …
Read more