KOCHA WA SIMBA KAWATOA HOFU MASHABIKI BAADA YA MAKUNDI KUPANGWA YA KLABU BINGWA
Droo ya Makundi ya michuano ya klabu Bingwa Afrika ilichezeshwa Ijumaa ya Desemba 28 2018 na makundi manne kujulikana, droo hiyo ilichezeshwa nchini Misri Cairo ambako ndio makao makuu ya shirikisho la mpira wa miguu Afrika yalipo Tanzania ikiwakilishwa na timu moja ya Simba SC. Baada ya droo kuchezeshwa mbele ya viongozi mbalimbali wa vilabu …
Read more