Miili na Mioyo ya Watanzania haitakiwi kukaa sehemu moja Jumapili
Clatous Chota Chama pengine ni mtu anayechukiwa zaidi kwa sasa nchini Algeria kuliko nchini Congo na kwa mashabiki wa Yanga. Huyu ni shujaaa wa Simba lakini ni adui mkubwa kwa mashabiki wa JS Saoura ya nchini Algeria. Jumamosi iliyopita mashabiki wa Algeria walikuwa wakifatilia zaidi mechi ya Simba na AS Vita kuliko mechi yao dhidi …