MO SALAH ARUSHA KIJEMBE KWA CHAMA CHA SOKA MISRI
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Misri na klabu ya Liverpool ya nchini England Mohamed Salah ameandika ujumbe unaonekana kuwa ni kukasirishwa na shirikisho la soka nchini kwake EFA kwa kutoona kura zao tuzo za The Best za FIFA. Kwa kawaida tuzo ya The Best FIFA yaani ya mchezaji bora wa FIFA mshindi kupatikana kwa …