NADAL AWAFUATA FEDERER NA DJOKOVIC RAUNDI YA 4 US OPEN
Baada ya kujiondoa katika mashindano ya Cincinnati Masters mwezi uliopita kutokana na uchovu, mjadala kuhusu uzima wa Mhispania huyu juu ya majeraha sasa hauna nafasi baada ya kuonyesha kiwango chake cha hali ya juu katika mechi zake mbili US Open. Nadal amefanikiwa kwenda hatua ya raundi ya 4 baada ya kumshinda Mkorea Kusini Chung Hyeon kwa …