AFRIKA KUSINI MABINGWA WA KOMBE LA DUNIA RUGBY
Springboks wameibuka mabingwa wa Rugby Kombe la Dunia baada ya kuwafunga England 32-12 katika mechi kali na ya ushindani iliyojumuisha maamuzi ya TMO (Television Match Official) maarufu kama VAR katika mpira wa miguu. Timu ya Afrika Kusini ilionesha kuwa bora wakiizidi England iliyokosa penati huku ikifanya makosa yaliyopelekea kufungwa kwa penati kuanzia dakika za mwanzoni. …