UFC KUENDELEA KAMA KAWAIDA
Raisi wa mchezo wa UFC Dana Whie maesema mchezo huo utaendelea kama kawaida na kwa sasa wapo mbioni kupata kisiwa binafsi cha kuhodhi mchezo huo katika kipindi hiki cha mlipuko wa corona. Akizungumza na jarida la TMZ White amedai mchezo huu utaendelea tena April 18 baada ya shirikisho la mchezo huo kulazimika hairisha matamasha matatu …