KUPANDA KWA CHARLES LECLERC KUNAMUANGUSHA SEBASTIAN VETTEL?
Mbele ya maelfu ya mashabiki wa timu ya Ferrari maarufu kama ‘tifosi’ dereva Charles Leclerc akishindia timu ya Ferrari mbio za Italian Grand Prix kwa mara ya kwanza tokea mwaka 2010 alipofanya hivyo Fernando Alonso maswali yanakuja kama ndio mwisho wa dereva namba moja wa timu hiyo Sebastian Vettel. Hizi ni mbio za saba mfululizo …