Michelle Katsvairo atua Leopards
Mshambulizi wa Zamani wa timu ya Singida United Michelle Katsvairo anatarajiwa kujiunga na team ya AFC Leopards baada ya kumfurahisha kocha Nikola Kavazovic katika mechi ya majaribio. Raia huyo wa Zimbabwe aliichezea Leopards siku ya Jumatano katika mechi ya kirafiki didhi ya timu la daraja la pili Wazito FC katika uga wa Camp Toyoyo mjini …