Serie A waonesha mapenzi yao kwa wanawake.
Wachezaji wa Serie A jana walikuwa wamepaka rangi nyekundu katika nyuso zao ikiwa ni njia ya ku-support kampeni ya kuzuia unyanyasaji dhidi ya wanawake Na katika mechi za leo na kesho jumatatu pia wachezaji, waamuzi katika ligi hiyo watafanya hivyo. Hii ni njia mojawapo ya kusambaza elimu na uelewa kwa watu duniani kuhusu kuzuia unyanyasaji …