Paul Ince aziponda mbinu za Mourinho
Mkongwe wa soka wa Uingereza aliyewahi kukipiga katika klabu tofauti tofauti Paul Ince ambaye kwa sasa amekuwa akitumika kama mchambuzi wa soka kwa baadhi ya mechi, amefunguka na kuamua kumkosoa kocha wa Man United Jose Mourinho kuhusiana na mbinu zake. Ince mwenye umri wa miaka 51 kwa sasa amewahi kuichezea Manchester United kwa takribani miaka …