Nikola wa Leopards ahusishwa na Free State Stars
Kocha wa AFC Leopards Nikola Kavazovic amehusishwa na Klabu ya Afrika Kusini, Free State Stars. Raia huyo wa Serbia yupo kwao nyumbani baada ya kuondoka nchini Kenya siku ya Jumamosi. Kulingana na taarifa kutoka Leopards, alirejea kwao kuhudhuria jambo la dharura. Habari kutoka Afrika Kusini yasema kuwa kocha huyo ni miongoni mwa makocha ambao wamehusishwa …