INTER WAMESHINDWA KUIZUIA JUVENTUS TURIN
Ligi Kuu Italia usiku wa Desemba 7 2018 ulitekwa na mchezo mmoja wa tu wa Serie A kati ya klabu ya Juventus dhidi ya klabu ya Inter Milan, Juventus ambao wanaongoza Ligi wakiwa hawajapoteza mchezo zilianza kuzuka tetesi kuwa wanaweza wakapoteza mchezo huo kutokana na Inter Milan kumiliki mpira. Licha ya hali ya umiliki wa …