HAZARD AMETANGAZA KUUNGANA NA RAHEEM STERLING WA MANCHESTER CITY
Ikiwa ni siku chache zimepita toka Polisi jijini London watangaze kuanza uchunguzu wa kitendo kilichotokea katika mchezo wa Ligi Kuu Uingereza kati ya Manchester City dhidi ya Chelsea jijini London katika uwanja wa Stamford Bridge. Mechi hiyo ambayo ilichezwa na kushuhudiwa Manchester City wakivunja rekodi yao ya kucheza michezo 20 ya Ligi Kuu Uingereza pasipo …