THOMAS MULLER AOMBA RADHI KWA NICO WA AJAX
Mshambuliaji wa Bayern Munich ya nchini Ujerumani Thomas Muller ameamua kuomba msamaha hadharani kufuatia kitendo chake cha kumchezea faulo ya hatari mchezaji wa Ajax Nico Tagliafico katika mchezo dhidi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano. Mechi hiyo ilimalizika kwa Muller kuoneshwa kadi nyekundu dakika ya 75 kufuatia kitendo cha kumchezea faulo …