Yanga yajizatiti kilele, yaichapa Ruvu 3-2
Klabu ya Yanga leo imeendeleza wimbi lake la vipigo kwa klabu inazokutananazo katika kujihakikishia tiketi ya kubakia kileleni na hatimaye kuweza kunyakua taji la ubingwa msimu huu, leo kikosi cha Yanga kilikuwa kikuumana na klabu ya Ruvu Shooting ambapo matokeo ya kipenga cha mwisho ni 3 -2 Magoli ya Yanga yalifungwa na Tambwe 11′ , Feisal …